JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Watano wafariki kwa virusi vya Marburg Kagera

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Watu watano wamefariki kwa ugonjwa ujulikanao kwa jina la Marburg mkoani Kagera huku watatu wakiendelea kupatiwa matibabu katika vituo maalum vilivyojengwaBukoba Vijijini mkoani Kagera. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema uchunguzi uliofanywa na maabara ya Taifa ya…

Watu 251 wapimwa viashiria vya magonjwa ya moyo Dodoma

Jumla ya watu 251 wamepata huduma ya upimaji wa viashiria vya magonjwa ya moyo pamoja na ushauri wa jinsi ya kuepukana na magonjwa hayo kutoka kwa wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Upimaji huo ulifanyika katika maadhimisho ya…

MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA; Ilivyochangia kuongeza usahihi wa utabiri TMA

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Katika kipindi cha miaka miwili ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilitenga fedha kiasi cha shilingi bilioni 50 katika bajeti ya maendeleo kwa ajili…

Safari ya Dkt.Samia na mapinduzi makubwa kwenye sekta ya elimu Kibaha Mji

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriKMedia,Kibaha Ni takribani siku 730 zinazobeba Miezi 24 sawa na saa 17,520 ,sawa na miaka miwili ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kazini baada ya kifo cha Hayat Dkt.John Magufuli kututoka, na kuacha majonzi kwa Taifa ,kumpoteza Rais akiwa…

Ngoro kilimo kilichogundulika miaka 300 iliyopita Mbinga

Na Albano Midelo,JamhuriMedia Ngoro ni aina ya kilimo kinachohifadhi mazingira kwa njia ya asili ambacho kinaaminika kilianza kutumika na wakulima wa kabila la wamatengo Wilaya ya Mbinga Mkoa wa Ruvuma zaidi ya miaka 300 iliyopita. Kilimo cha ngoro kilianzishwa na…

Nini kinaendelea Uwanja wa Ndege Chato?

Na Daniel Limbe, Jamhuri Geita Wakati kukiwa na uvumi kwamba Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita umetelekezwa na sasa unatumika kwa kuanikia nafaka, hali sivyo ilivyo. Uwanja huu bora na wa kisasa uliojengwa wakati wa utawala wa Awamu ya…