JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Sababu zinazochangia uchovu mara kwa mara-

Uchovu ni kitu cha kawaida katika maisha ya binadamu. Kila mwanadamu hupitia hali hii na hasa baada ya kupitia shughuli mbalimbali ambazo zilitumia nguvu sana ya mwili au hata akili pia. Ni rahisi sana kuweza kutambua sababu uchovu wa mwili…

CCM yashinda Siha, Kinondoni “Zaidi ya wapiga kura laki tatu wasusia”

*Zaidi ya wapiga kura laki tatu wasusia DAR ES SALAAM NA WAANDISHI WETU Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi, katika uchaguzi mdogo uliofanyika katika majimbo ya Siha na Kinondoni, wameibuka washindi. Jimbo la Siha, Dk.Godwin Mollel ametangazwa mshindi, huku Kinondoni akitangazwa…

Ngombale-Mwiru: Afisa JKT asiye na ‘rank’

Nimefurahishwa na ule ufafanuzi uliotolewa na Monsinyori Deogratias Mbiku katika Gazeti la Kiongozi toleo No. 06 la tarehe 09 – 15 Februari 2018 uk. 3 – 4. Kwa maelezo yake katika “Gumzo kuhusu Kanisa kumzika Kingunge” Monsinyori ameeleza wazi namna…

Busara itumike katika matumizi ya maneno

Na Angalieni Mpendu Dhani na Ongopa ni maneno ambayo baadhi ya watu duniani huyatumia ima kwa nia njema, au kwa nia mbaya ya kuwagombanisha, kuwafarakanisha, kuwaangamiza, au kuwaua watu wengine katika familia, jumuiya au taifa. Ukweli maneno haya ni vitenzi,…

Yah: Tunajali vyeti na siyo uwezo wa mtu binafsi

Nianze na salamu za mfungo wa mwezi kwa Wakristo wenzangu. Najua lengo mojawapo ni kuombea amani na upendo baina yetu. Najua kwamba wengi wetu tunafaidi hii hali ya utulivu tulionao tofauti na mataifa mengine ambayo wakati mwingine hawajui kesho yao…

AFYA: Usizidharau dalili hizi

Hizi ni dalili mbalimbali zinazojitokeza kwenye miili yetu. Japo zinaweza zisiashirie tatizo, lakini kama ikitokea zinajirudia mara kwa mara ni vyema kupata vipimo na ushauri wa kiafya. Dalili ya kwanza ni udhaifu wa kwenye miguu na mikono kunakoambatana na ganzi….