Category: Makala
‘Bandari ya Dar itumike kuboresha biashara’
DAR ES SALAAM NA CLEMENT MAGEMBE Wafanyabishara katika soko la Kariakoo wameiomba Serikali kuweka mazingira mazuri yatakayowawezesha kuitumia bandari ya Dar es Salaam kwa ufanisi na kuboresha biashara zao. Wakihojiwa na JAMHURI wiki iliyopita, wafanyabiashara hao wamesema kuwapo kwa mazingira…
‘Wakorea Weusi’ watishia amani Mbeya
Na Thompson Mpanji, Mbeya KUIBUKA kwa kundi kubwa la vijana wanaofanya uhalifu bila woga huku wakijiamini kutenda makosa ya jinai hata kutishia maisha na mali za wakazi wa Jiji la Mbeya wanaojiita “Wakorea Weusi”, limezidi kutia hofu na kuwalazimisha wananchi walio…
Tukatae kuvaa ‘kafa Ulaya’
NA MWANDISHI MAALUMU, DAR ES SALAAM Kwenye gazeti la The Citizen la Ijumaa, Februari 16, 2018 kulikuwa na stori ambayo pengine kutokana na hekaheka za uchaguzi wa marudio wa majimbo ya Kinondoni na Siha, watu wengi hawakuipa uzito unaostahili….
Wafugaji wa sungura wa kisasa ‘walizwa’ Moshi Vijijini
Na Charles Ndagulla, Moshi Tegemeo la kutajirika kwa wakazi zaidi ya 20 katika halmashauri ya Wilaya ya Moshi Vijijini kupitia mradi wa ufugaji wa sungura wa kisasa, limetoweka baada ya kuachwa na wawezeshwaji wao, kampuni ya Rabbit Bilss Tanzania. Viongozi…
Uchovu mara kwa mara – 2
Karibu tena msomaji wangu wa Safu hii ya Afya. Leo tutaendelea na mwendelezo wa mada yetu ya wiki iliyopita kama nilivokuahidi. Kwa kukukumbusha tu msomaji, wiki iliyopita nilieleza kuhusu sababu zilizo nyuma ya uchovu uliokithiri. Uchovu ambao mara nyingi huwa…
Mapitio ya sheria za kazi nchini Tanzania
Na Wakili Stephen Malosha Asiyefanya kazi na asile. Hayo ni maneno maarufu sana katika utawala huu wa awamu ya tano. Maneno haya yamekuwa yakitamkwa mara kwa mara na Rais John Magufuli katika kuhimiza Watanzania wafanye kazi. Hii inaonesha kwa namna…





