Category: Makala
Turejeshe Rasilimali za Umma Pasipo Migogoro
Tangu ilipoingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, 2015, Serikali ya Rais John Magufuli imefanya uamuzi mgumu unaohusu kurejesha mali za umma zinazodaiwa kuhujumiwa pasipo kujali maslahi mapana ya nchi. Ipo orodha ndefu ya matukio yanayodhihirisha kufikiwa kwa…
Njaa isitufikishe huko
Kwa sisi tuliozaliwa na kukulia vijijini miezi ya Agosti, Septemba, Oktoba, Novemba na Desemba huwa ni miezi ya sherehe, harusi, ngoma za kila aina na hata ndugu kukumbukana (okuzilima). Miezi hii huwa watu wana furaha. Kingazi cha Julai kinakuwa kimekwisha…
Ujenzi wa Uzalendo si Suala la Mjadala
Wale wanaosikiliza hotuba za Rais John Magufuli, kuna kitu wanakipata mara kwa mara. Sijasikia hotuba yake yoyote akikosa kutaja neno ‘uzalendo’. Amediriki kusema viongozi, akiwamo yeye, watapita lakini Tanzania itabaki; na ili ibaki, Watanzania wote hatuna budi kuwa wazalendo. Rais…
Ni Kazi Kumpata Rafiki wa Kweli
Maisha ni urafiki. Mwanafalsafa mwenye asili ya Kiafrika Martin Luther Jr. King alipata kusema hivi, “Ukimya wa marafiki zetu unaumiza kuliko kelele za madui zetu”. Rafiki wa kweli ni rafiki siku zote. Mwenyezi Mungu ni rafikiwa kweli katika maisha yetu…
Miaka 44 Gerezani
Ni mfungwa wa aina yake nchini. Ameingia gerezani vyama tawala vikiwa ni Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shiraz (ASP). Chama Cha Mapinduzi kimezaliwa mwaka 1977 akiwa gerezani. Amewekwa gerezani wakati ambao Tanzania haikujua kama itapigana na Uganda kwenye vita…
Mafanikio Yoyote Yana Sababu (2)
Kufikiria vizuri ni sababu ya mafanikio. Tazama mbele ufikiri. Papa Fransisko alisema kuna lugha tatu: ya kwanza fikiria vizuri, ya pili hisi vizuri, ya tatu tenda vizuri. Kufikiria vizuri ni msingi wa mafanikio. Kuna aina mbalimbali za kufikiri. Kwanza ni…