JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Matamu na machungu ya demokrasia

Nimekaa hivi karibuni kwenye kikao cha siasa kisicho rasmi na kupata fursa ya kutafakari baadhi ya masuala yaliyopo na yale yaliyopita ndani ya jamii. Nikarusha swali kwa wajumbe: “Unakumbuka enzi zile ambazo raia akiwa na pesa ambayo hawezi kuelezea ameitoa…

Lugha ya Kiswahili inawaunganisha Waafrika

Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, mwasisi wa taifa la Tanzania ndiye aliyeenzi lugha adhimu na tamu ya Kiswahili na anastahili tuzo maalum kwa kutambua umuhimu wa lugha hiyo katika kuleta umoja, mshikamano, na maendeleo ndani na nje ya…

Naipenda Tanzania Yangu, Nasimama na Rais Wangu

Kila siku nashuhudia wananchi wenzangu wakikalamika. Natamani kujibu. Naacha. Natamani kuwakumbusha wananchi wenzangu. Naacha. Nasema mbona sisi ni wepesi kusahau? Natamani kuwakumbusha wabunge wenzangu. Naacha. Nasema na mimi sasa nipo kwenye Serikali. Ni mtunga sera, ni mfanya maamuzi, nikisema watasema…

Ndugu Rais, Muumba akujalie ulinzi ‘wa kufa mtu’

Ndugu Rais kazi ambayo unaifanyia nchi hii ni njema sana. Na kwa hili Mwenyezi Mungu akutangulie! Lakini, baba, tambua kuwa katika kuifanya kazi hii njema, uko peke yako! Na maadui wako wakubwa wako nguoni mwako! Kumbuka methali ya kikulacho… Baba…

Takukuru yamchunguza Meneja MPRU

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeanza uchunguzi wake dhidi ya Meneja wa Taasisi ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU), Dk. Milali Machumu ambaye analalamikiwa kwa kuwanyanyasa na kuwafukuza wafanyakazi bila kuzingatia taratibu zilizowekwa. Kwa mujibu…

Maji kwa wingi hupunguza msongo wa mawazo, hasira

Kama unahitaji njia rahisi na ya asili ya kuepukana na maisha yenye hasira au yaliyojaa msongo wa mawazo, basi jenga utamaduni wa kunywa maji kwa wingi. Ogani zote kwenye miili yetu zikiwamo ubongo, zinahitaji maji kwa wingi ili kufanya kazi…