Category: Makala
Wachuuzi wakiachwa hivi hivi ni ‘jeshi hatari’
Juzi nilishiriki mjadala mfupi katika mtandao wa kijamii wa Facebook. Niliweka picha ya wachuuzi waliovamia eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Ubungo, Dar es Salaam. Maudhui ya picha hiyo yalikuwa kuwafikishia taarifa (kana kwamba hawazioni wala hawazijui) viongozi…
Yah: Kitimutimu cha Magufuli na mawaziri wake wa awamu ya tano
Niliposikia malalamiko ya watu kuwa Mheshimiwa Magufuli anachelewa kutaja baraza la mawaziri nilikuwa najiuliza kwani mawaziri ni lazima akurupuke kuwachagua ili serikali iwepo au hao wanaoitwa makatibu wakuu kazi zao ni zipi kama siyo kusimamia wizara zao kiutendaji, na ukweli…
Prof. Ndalichako tumbua jipu NECTA
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku katika harakati ya kuijenga nchi yetu. Binafsi ni buheri wa afya nikijitahidi kuendana na falsafa ya ‘hapa kazi tu’ kukwepa jipu litakalochangia kutumbuliwa. Nikiwa mdogo,…
Tujadili uhalali wa bomoabomoa
Kama tujuavyo, Tanzania imepata Rais mchapakazi. Ni Dk. John Pombe Magufuli. Kupata Rais mchapakazi hapana shaka ni baraka. Lakini inaweza ikawa ni laana. Kwa vipi? Tuna viongozi tunaoendelea nao tangu Serikali ya Awamu ya Nne. Wengi wao hawakuwa wachapakazi. Walikuwa…
Watanzania hatuna budi kuheshimu sheria
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuvusha salama mwaka 2015 na kutujaalia kuuanza mwaka 2016. Ni vema na haki kumshukuru Mungu wetu kwa kila hali na kila mahali maana yote tunayaweza kwa mapenzi yake na si tu kwa uwezo wetu wenyewe. Kipekee…
Nabii Buberwa asisitiza kukutana na Rais Magufuli
Nabii Joseph Buberwa, ametoa mwito kwa mamlaka zinazohusika kumwezesha kuonana na Rais John Magufuli. Anasema yeye si nabii kama manabii wengine wa kisasa waliojaa duniani, wakidai wanahubiri injili na kufanya miujiza mbalimbali. Katika mahojiano maalumu na JAMHURI, Buberwa anasema: “Mimi…