Category: Makala
Watanzania hatuna budi kuheshimu sheria
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuvusha salama mwaka 2015 na kutujaalia kuuanza mwaka 2016. Ni vema na haki kumshukuru Mungu wetu kwa kila hali na kila mahali maana yote tunayaweza kwa mapenzi yake na si tu kwa uwezo wetu wenyewe. Kipekee…
Nabii Buberwa asisitiza kukutana na Rais Magufuli
Nabii Joseph Buberwa, ametoa mwito kwa mamlaka zinazohusika kumwezesha kuonana na Rais John Magufuli. Anasema yeye si nabii kama manabii wengine wa kisasa waliojaa duniani, wakidai wanahubiri injili na kufanya miujiza mbalimbali. Katika mahojiano maalumu na JAMHURI, Buberwa anasema: “Mimi…
Kwanini unakosa scholarships ughaibuni kila ukiomba?
Tunamshukuru Mungu kwa kuingia mwaka mpya wa 2016. Kwa kawaida mwaka mpya unapoanza watu wengi huwa na malengo ya mwaka maarufu kama new year’s resolution. Wengine huwa na malengo ya kupunguza uzito, kupata kazi, kuanzisha familia, kufungua biashara, kuongeza elimu…
Nani anayefaidika na ‘misaada’ ya kigeni?
Novemba mwaka jana Watanzania walitaarifiwa kuwa Marekani inakusudia kuzuia “misaada” yake kutokana na kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi wa Oktoba 25 Visiwani Zanzibar, pamoja na kukamatwa kwa wanaharakati waliokuwa wakikusanya habari za uchaguzi jijini Dar es Salaam. Tukaonywa kuwa matokeo…
‘Wandu makoko’
Huu ni usemi wa Kingoni unaotahadharisha wanadamu duniani. Una maana ya kuwa “Watu ni hatari”. Kwa lugha ya Kingoni neno ‘likoko’ ni mnyama au mdudu wa kuhatarisha sana na anaweza kumdhuru mtu wakati wowote ule. Basi kwa usemi huo kuwa…
Hili si shamba la bibi aliyekufa
Nimepata kuifananisha hali ya sasa ya mapambano ya kuijenga nchi yetu na ile ya nchi iliyo vitani. Taifa linapokuwa vitani, hasa vita hiyo inapokuwa halali, wananchi wazalendo huungana kuitetea nchi yao isitwaliwe na adui. Kwa wazalendo, ushindi ndiyo dhima yao…