Category: Makala
Hati ya nyumba yako inapoharibika au kuchakaa
Hati kwa maana ya hapa ni hati za nyumba na viwanja, kwa ufupi ni hati za ardhi. Kwa kuwa hati ni karatasi sawa na karatasi nyingine basi huweza kuharibka au kuchakaa. Huweza kuchakaa kwa sababu mbalimbali za kibinadamu. Inaweza kunyeshewa…
Barua ya kiuchumi kwa Magufuli
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, nakusalimu kwa salamu za heshima. Salamu hizi zinakujia kutoka kwangu mwananchi mwaminifu kwa nchi yangu ambaye nimeamua kukupa mkono wa shirika katika eneo la kuujenga uchumi. Baada ya…
TEWUTA walilenga kuipotosha TTCL
Novemba 10, 2015 Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Mawasiliano Tanzania (TEWUTA) kupitia kwa Katibu Mkuu wake, Junus Ndaro, walizungumza na vyombo vya habari. Katika mazungumzo hayo, TEWUTA ilitoa salamu za pongezi kwa ushindi wa Rais…
TAWA: Isiwe tu kulinda wanyamapori
Kwanza niipongeze Wizara ya Maliasili na Utalii na hasa Idara ya Wanyamapori, kwa kuanzisha Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania inayojulikana kwa Kiingereza kama Tanzania Wildlife Management Authority (TAWA). Kuna sababu kadhaa za kuipongeza Wizara na Idara kwa kuanzisha TAWA,…
Baraza liwe na Mawaziri 12
Bila ya shaka, Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, atakuwa anasuka Baraza lake la Mawaziri. Anamteua Waziri Mkuu na kulifikisha jina lake bungeni kwa uthibitisho, kama inavyohitaji Katiba, ili amsaidie katika kazi…
Magufuli: Nini Muhimbili njoo Karagwe
Afya ndiyo msingi wa uwepo wa maisha ya binadamu. Kwa mujibu wa ufafanuzi uliotolewa na kutangazwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) katika mkutano wake wa Juni 19-22, 1946 na kusainiwa na wawakilishi wa nchi 61 duniani. ‘Afya ni hali…