JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Tupo kwenye zama za ujasiriamali zilizoufukia ujamaa

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kuanzisha mfumo wa kiuchumi wa Ujamaa na Kujitegemea miaka michache baada ya Tanganyika kujipatia uhuru wake.   Kwa kufanya hivyo alikuwa ameamua kufuata mawazo ya akina Adam Smith, David Ricardo, Milton Friedman, Fredrich Hayek, Ayn…

CCM iruhusu ushindani wa haki urais

Kwa wiki takribani nne hivi, sijaonekana katika safu hii. Sikuonekana kutokana na matatizo ya msiba, lakini pia nikalazimika kufanya kazi mikoani. Huku niliko nakumbana na tunachopaswa kupambana kukiondosha. Sehemu nyingi za mikoani hakuna huduma ya data (Internet), simu zipo ila…

Nini kimewachochea wasaka urais ?

Mara baada ya ratiba ya ndani ya CCM kutolewa, kumekuwapo na mfumuko wa wagombea waliojitokeza kuchukua na kurudisha fomu ya kuwania urais.     Swali la kujiuliza ni je, utitiri huu umechochewa na nini? Hoja hii ni mtambuka ambayo inagusa maeneo…

Tunamhitaji Rais Mtendaji Mahiri, Jasiri

Wanaowania urais wa Awamu ya Tano Tanzania, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), walianza kuchukua fomu mjini Dodoma Jumatano Juni 3, 2015. Inaonekana wengine waliokuwa wanatajwatajwa, wanasita, hawajajitokeza kugombea, hawajachukua fomu! Labda watajitokeza baadaye, au wanaona hawana nafasi nzuri….

Adui wa Tanzania yupo Tanzania

Mwandishi wa Gazeti la JAMHURI, Manyerere Jackton, katika makala yake iliyokuwa na kichwa cha habari, ‘Kutokufanya kitu nako ni kufanya kitu’, toleo Na. 190 aliandika hivi, ‘Ukiyatafakari mengi yanayolikabili Taifa letu, hata kama ulikuwa na nia ya kugombea urais, unaweza…

Hii ni vurugu ndani ya CCM – Msuya

Waziri mkuu wa zamani wa Tanzania, Cleopa David Msuya, anaamini kwamba Uchaguzi Mkuu wa tano baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini, utafanyika Oktoba kama ulivyopangwa. Bosi huyo wa nchi aliyeshika wadhifa huo uliokwenda sambamba na umakamu wa…