Category: Makala
Ngeleja; Kichwa kilichojificha nyuma ya tambo za Kikwete
“Natamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania kuongoza nchi ambayo ni maskini…Nimeongoza nchi maskini, lakini nataka mrithi wangu kuongoza nchi yenye ustawi na utajiri” yalikuwa ni maneno ya Rais Jakaya Kikwete aliyoyatoa Agosti 5, 2014 alipozungumza kwenye Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo mjini Washington, D.C., Marekani.
Kila mtu ni mjasiriamali
Watu wengi huwa wananiuliza swali hili mara kwa mara, “Je, kila mtu ni lazima awe mjasiriamali?”
Nimekuwa nikiwajibu na leo ninataka kulijibu kwa namna nyingine na kwa upana. Ili kulijibu swali hili ninaomba nitumie Biblia kupata baadhi za rejea.
Uchafu waharibu mandhari ya mji wa Songea
Wananchi Manispaa ya Songea wameelezea wasiwasi wao kuhusu kukumbwa na milipuko wa magonjwa mbalimbali, kutokana na kukidhiri kwa uchafu katika maeneo mbalimbali yakiwamo soko kuu la mji buo.
Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wamesema miundombinu ya maji taka Soko Kuu la Songea ni mibovu. Mitaro ya mji huo imefurika na kutiririsha maji hovyo yanayosambaa kwenye maeneo ya wauza nyanya, vitunguu, samaki na dagaa.
Hivi kati ya Spika Sitta na Kubenea nani ‘Court Jester’?
Akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi Jumanne iliyopita, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), Samuel John Sitta, alimshambulia Mkurugenzi Mtendaji wa HaliHalisi Publishers, Saed Kubenea, kwa kitendo chake cha kufungua shauri mahakamani kupinga Bunge hilo.
Malengo ya Kazi (1)
Hotuba ya Rais Mwalimu Julius Nyerere kwenye Sherehe ya Kufungua Kiwanda cha Nguo Ubungo Dar es Salaam Julai 6, 1968
Tumekubali kuwa punda wa Wakenya
- Anne Kilango aishinikiza Serikali kukamilisha barabara ya lami Same Mashariki
- Meya Kibaha atoa wito kwa wenye viwanda kutekeleza maagizo ya mazingira kabla ya mvua El Nino
- Uwanja wa Ndege Msalato mwambao mpya wa uchumi Dodoma
- LATRA yapanua matumizi ya teknolojia, yaongeza udhibiti wa usafiri
- Naibu Waziri wa Fedha ashiriki kikao cha majadiliano cha AU kuanzisha ukadiriaji wa mikopo
Habari mpya
- Anne Kilango aishinikiza Serikali kukamilisha barabara ya lami Same Mashariki
- Meya Kibaha atoa wito kwa wenye viwanda kutekeleza maagizo ya mazingira kabla ya mvua El Nino
- Uwanja wa Ndege Msalato mwambao mpya wa uchumi Dodoma
- LATRA yapanua matumizi ya teknolojia, yaongeza udhibiti wa usafiri
- Naibu Waziri wa Fedha ashiriki kikao cha majadiliano cha AU kuanzisha ukadiriaji wa mikopo
- REA yatunukiwa cheti cha mlipakodi bora kwa taasisi za umma
- Wakulima Karatu vicheko, visima vya umwagiliaji vyatajwa kukomboa wakulima wadogo
- WHI yawakaribisha wananchi kujifunza fursa za nyumba na uwekezaji
- Prof. Shemdoe atoa siku 14 wataalam kuchambua hoja za wananchi mgogoro wa mipaka Kazimzumbwi
- Watu 25 mbaroni kwa tuhuma za mauaji, kuchochea vurugu
- Kapinga : Hakikisheni mnatumia bidhaa zinazozalishwa kwa utelelevu na viwanda vya ndani kulinda soko
- Dk Nicas : Manispaa Kibaha kujenga ofisi za kisasa za walimu kila shule
- Mkoa wa Rukwa mbioni kuunganishwa kwenye gridi ya umeme ya taifa
- Wizara ya Nishati Yatwaa Tuzo ya Wizara bora kwa utendaji MEL2026
- Dk Saada aipongeza WHI kwa kutoa fursa za uwekezaji
Copyright 2025