Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aongoza Vikao Maalum vya Kamati Kuu ya CCM na Halmashauri Kuu ya CCM Vilivyoketi jijini Dar es Salaam leo, Jumatano tarehe 26 Agosti 2026.