Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Bungeni Agosti 29, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na baadhi ya Wabunge, wakati akiingia Bungeni jijini Dodoma