Latest Posts
Programu kilimo kidigitali kuvutia vijana
Kutokana na kuwepo kwa changamoto ya teknolojia ya kilimo vijana nchini wametakiwa kuwasilisha bunifu zao za teknolojia ya kilimo ili kupata suluhu na kuongeza nafasi za ajira. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu maalum ya kuwasilisha teknolojia hizo za kidigitali, Waziri …
Askari wa kike watakiwa kushiriki operesheni za kulinda amani
Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Dar es Salaam. Kamishna wa Jeshi la Polisi Tanzania Suzan Kaganda amewahamasisha washiriki wa mkutano wanne wa mafunzo wa Jumuiya ya Polisi wa kike duniani (IAWP) Ukanda wa Afrika kutumia elimu wanayoendelea kupata ili…
UNDP kuendelea kushirikiana na MAIPAC miradi ya uhifadhi wa mazingira
Na Mwandishi Wetu,Arusha Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa(UNDP) kupitia Programu ya miradi midogo(SGP) nchini, limeahidi kuendelea kushirikiana na Taasisi ya Wanahabari ya kusaidia jamii za Pembezoni(MAIPAC) katika kutekeleza miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi…
Kunenge: Wananchi tushirikishane kufichua vitendo vinavyoashiria uvunjifu wa amani
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge, ameeleza ni wajibu kwa kila mtu kushirikiana kulinda amani kwa kuwa sehemu ya kufichua vitendo vinavyoashiria uvunjifu wa amani. Ameeleza, kuna wakati zinatokea chokochoko kwenye maeneo yetu ni jukumu…
Wizara ya Elimu, Benki ya Dunia wajadili mageuzi sekta ya elimu
Viongozi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wamekutana kwa mara ingine na kufanya majadiliano na ujumbe wa Benki ya Dunia juu ya ushirikiano katika utekelezaji wa mageuzi makubwa ya elimu nchini. Akizungumza katika kikao hicho Waziri wa Elimu, Sayansi…