Viongozi wa Serikali, Wakuu wa Mashirika na Taasisi za umma pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa Hundi kama Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika mbalimbali na Taasisi za Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa tuzo kwa Mashirika na Taasisi zilizotoa Gawio kubwa, Michango mikubwa, Taasisi zilizojiimarisha mwaka hadi mwaka, Taasisi zilitoa stahiki na kwa wakati na wachangiaji kwa mara ya kwanza kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi waliotoa gawiwo na michango kwa Serikali zaidi ya shilingi bilioni 10 kila mmoja kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2024.

By Jamhuri