Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2024.
Viongozi wa Serikali, Wakuu wa Mashirika na Taasisi za umma pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2024.