Latest Posts
Aweso ashuhudia utiaji saini miradi mitatu ya maji Pwani itakayogharimu 48/-
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Kibaha WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ameshuhudia tukio la kihistoria katika utiaji saini wa kuanza, utekelezaji wa miradi mitatu ya maji yenye thamani ya zaidi ya sh.Bilioni 48 kati ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira…
ICTC, taasisi ya Ruge Mutahaba zakubaliana kuwezesha wanawake, vijana
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar TUME ya Tehama (ICTC) imesaini hati ya makubaliano na ushirikiano na Taasisi ya Ruge Mutahaba ya kuinua vijana na wanawake waweze kushiriki na kunufaika kiuchumi kupitia matumizi ya teknolojia za kidigitali.Makubaliano hayo yamelenga kushughulikia maeneo…
Serikali ipo mbioni kutengeneza mfumo wa taarifa za soko la ajira
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI ipo mbioni kutengeneza mfumo wa kitaifa wa kielekroniki wa Taarifa za soko la ajira utakaogharimu kiasi cha shilingi milioni 346.9 kwa ajili ya kuwezesha ukusanyaji wa taarifa kuanzia ngazi ya Wilaya hadi Taifa. Hatua hiyo imelenga…
Tanzania yavunja rekodi matibabu ya moyo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu alimjulia hali Mchungaji Donald Lema ambaye amefanyiwa upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure – TAVI) katika Taasisi ya…
Upasuaji wa kwanza bila kufungua kifua wafanyika JKCI
na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Taasisi ya Moyo ya Jakaya kikwete(JKCI) kwa kushirikiana na madaktari kutoka India wamefanikiwa kubadilisha valvu ya moyo bila kufanya upasuaji wa kufungua kifua kwa mara ya kwanza nchini . Upasuaji huo ujulikanao kuwa wa tundu…
Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar watembelea MSD
Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar pamoja na Uongozi wa Bohari Kuu ya Dawa Zanzibar leo wametembelea Bohari ya Dawa (MSD) kubadilisha uzoefu katika masuala ya mnyororo wa ugavi wa…