Latest Posts
Waziri Mkuu azindua Awamu ya Nne ya Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kutoa rushwa mahali popote huku akisisitiza kuwa wananchi ni wadau muhimu sana katika mapambano dhidi ya vita hiyo. “Ninyi ni wadau wakubwa wa kukomesha rushwa. Nyie ni wadau wakubwa wa kukomesha vitendo vya…
Dk Yonazi aipongeza Muhimbili kupeleka msaada wa msaikolojia tiba,dawa na vifaa Hanang
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kupeleka msaada wa dawa, vifaa tiba pamoja Msaikolojia Tiba kwa wananchi wa Mji mdogo wa Katesh Wilayani Hanang, Mkoani manyara…
Dk Mpango aibukia kanisani , awashukuru Watanzania kwa kumwombea
MAKAMU wa Rais Dkt. Philip leo Desemba 10,2023 akiwa katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma ambako ameshiriki Ibada ya jumapili ameitaka Mitandao ya kijamii nchini itumike vizuri pasipo kupotosha umma. Dkt. Mpango…
Rais Samia asikia kilio cha wakazi Usimba
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Kaliua RAIS wa Awamu ya Sita Dk Samia Suluhu Hassan amesikia kilio cha ukosefu wa shule ya msingi kwa wakazi wa Kijiji cha Magele kata ya Usimba Wilayani Kaliua kwa kuamua kuwapelekea zaidi ya sh mil…
Serikali yaboresha miundombinu ya elimu, afya Manispaa Kigoma/ Ujiji
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Kigoma SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya sh bil 8 katika halmashauri ya manispaa Kigoma-Ujiji ili kuboreshwa miundombinu ya elimu na afya. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji…