Latest Posts
Wafanyabiashara wadogo, makundi maalum yapewe kipaumbele ununuzi wa umma – Dk Biteko
šAshuhudia makubaliano ya PPRA na NEEC kuwezesha makundi maalum šAagiza rufaa za makundi maalum PPRA zisikilizwe haraka šAtaka makundi maalum yajengewe uwezo kuweza kushindana na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko…
Waziri Simbachawene, āawapongeza walimu Mpwapwaā
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene amewapongeza Idara ya Elimu sekondari ya Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa kwa kufanya vizuri katika Mtihani wa kidato cha nne…
TAKUKURU Shinyanga yawataka wananchi kujihadhari na matapeli wanaojifanya maafisa wa Serikali
Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Shinyanga, Donasian Kessy amewataka wananchi kujihadhali na wimbi la matapeli lililoibuka hivi karibuni,ambalo limekuwa likitapeli watu kwa kutumia simu za mkononi. Tahadhali hiyo ameitoa leo…
Dk Nchimbi azungumza na watumishi wa CCM
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na watumishi wa CCM Makao Makuu pamoja na jumuiya zake, Jumuiya ya Wazazi, Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), kwenye Ukumbi…
Kampuni ya Prezidar yafikishwa kizimbani kwa tuhuma za kuhujumu mapato ya Serikali
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) Kinondoni kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo katika kipindi cha miezi miatatu Oktoba hadi Desemba 2023 imefanya uchunguzi kwa…





