JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania kuwasilisha ombi CAF matumizi ya matangazo ya Kiswahili

Na Shamimu Nyaki, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kuweka matangazo kwa lugha ya Kiswahili…

Ulowa bingwa cherehani Cup 2023, Rais Samia apewa tano kuimarisha michezo

Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Shinyanga Mashindano ya CHEREHANI CUP 2023 yamefika ukomo tarehe 15 Octoba 2023 katika uwanja wa Nyamilangano yakiwa yamefanyika kwa zaidi ya wiki tatu huku jumla ya timu 20 kutoka kata zote za Halmashauri ya Ushetu zikiwa…

Rais Samia aokoa afya za wananchi zaidi ya 8000-Sofu

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amewapunguzia mwendo wa Km.5 wananchi wa Kata ya Sofu kufuata huduma za afya kwenye maeneo mengine. Takribani milioni 200 zimekamikisha jengo la Zahanati Kata ya…

Rais Dk Samia amedhamiria kuwainua wanawake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuwainua wanawake kiuchumi kwa kuweka msingi unaochochea mabadiliko yanayojielekeza kukua kiuchumi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,…