Latest Posts
Mafuriko Manyara, vifo vyafikia 47 watu 85 waokolewa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Juhudi za kuwaokoa watu waliokwama kwenye matope zimeendelea vijiji vya Katesh na Gendabi wilayani Hanang mkoani Manyara baada ya mafuriko kuyakumba maeneo hayo na kusababisha vifo vya watu 47 na wengine 85 kujeruhiwa. Kwa mujibu…
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba wabaini kiwanda bubu Arusha
Na Abel Paul,Jeshi la Polisi- Arusha Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba kanda ya kaskazini (TMDA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha iliendesha operesheni maalum ya kuwasaka watu wanaojihusisha na uzalishaji wa dawa bandia ambapo mamlaka hiyo…
Aliyehitimu udaktari HKMU na miaka 21 atoa siri
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MHITIMU wa fani ya udaktari ambaye ni mdogo kuwahi kutokea tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert kairuki (HKMU), Ahlam Azam Mohamed, ametoa siri ya namna alivyofanikiwa kuhitimu akiwa na miaka…
Prof Mkenda : Walimu wakuu kuweni makini na zawadi, misaada inayotolewa mashirika shuleni
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Waziri wa Elimu ,Prof.Adolf Mkenda ametoa rai kwa walimu wakuu nchini kuwa makini na mashirika binafsi , Taasisi zisizo za Kiserikali zinazokwenda kwenye shule zao kutoa misaada ikiwemo miswaki, vidonge kwa wanafunzi ili kuondokana na…





