JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

DP World yamuibua askofu Ringia

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma. Kutokana na kuwepo maneno mengi ya kubeza Mkataba wa uwekezaji wa Bandari,hatimaye Askofu Wilbard Ringia wa Kanisa la Mizaituni miwili,Pentecoste Assemblies (MMPA) amejitokeza na kuwataka Watanzania kuwa watulivu na wenye kuheshimu mamlaka ili mambo mengine yaendelee….

Makamba azitaka kampuni za bima nchini kutumia fursa katika sekta ya nishati

Makampuni ya Bima nchini, yametakiwa kuhakikisha kwamba yanazitumia fursa zilizopo katika Sekta ya Nishati, kuzitambua na kufahamu kuwa wana nafasi ya kuzifikia na kuzipata. Wito huo umetolewa na Waziri wa Nishati, January Makamba tarehe 15 Julai, 2023 jijini Arusha wakati…

Bashungwa aeleza mabilioni yaliyotolewa na Serikali wilayani Karagwe

Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameishukuru Serikali inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa katoa zaidi ya shilingi bilioni 1.27 kujenga vyumba vya madarasa, vyoo na miundombinu mingine ya shule za msingi katika halmashauri ya wilaya…

Kinana apongeza uamuzi wa Rais Samia kuunda Wizara ya Mipango

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amepongeza uamuzi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Hassan wa kuunda wizara inayohusika na mipango. Pia, amepongeza hatua ya kuifanya Tume ya Mipango kuwa chini ya ofisi ya Rais…