Latest Posts
Kinana awataka Waislamu kuzingatia maadili mema
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amewataka Waislamu kuzingatia mafundisho ya Mtume Muhammad (SAW) hususan kuhusu uchamungu na tabia njema. Kinana ameyasema hayo jana wakati wa hafla ya mashindano ya Kuraani tukufu yaliyoandaliwa na Taasisi ya…
Mama Janeth Magufuli atunukiwa tuzo DRC
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Hayati John Pombe Magufuli ametunukiwa Tuzo ya Heshima ya Kimataifa toleo la tatu, inayotolewa na Taasisi ya Martha Tshisekedi Kasalu maarufu M. T….
TMA yaiwakilisha vema Tanzania mkutano wa tathmini ya mabadiliko hali ya hewa na tabianchi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a, ambaye pia ni Afisa Kiungo wa Tanzania katika Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi (Intergovernmental Panel…
Majaliwa:Agizo la Rais halipingwi na yeyote
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema agizo la Mheshimiwa Rais halipingwi na mtu yeyote na akawataka watumishi wa umma kote nchini wazingatie hilo. “Agizo la Rais likishatolewa halipingwi na mtu yeyote, kinachofuata ni utekelezaji na siyo kukaa vikao na kupitisha maamuzi…
Rais amteua Wasira kuwa mwenyekiti wa bodi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Stephen Wassira kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), kwa kipindi cha pili cha miaka minne baada ya kipindi cha kwanza kumalizika; na Amemteua…
Ndani ya miaka miwili ya Rais Samia,TMA ina mengi ya kujivunia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia “Nimepoteza ardhi zaidi ya nusu heka, sina makazi ya kudumu,na hivi sasa nipo na familia yangu ya watu watano, tunajihifadhi katika chumba kimoja kilichopo karibu na eneo la nyumba yangu ilipomoka” Ni kauli ya Stephen Joel…