JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali yatoa onyo kali kuhusiana na kilimo cha mirungi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Same Kamishna Jenerali Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini (DCEA), Aretas Lyimo ametoa onyo kali kwa viongozi wa ngazi ya halmashauri  watakaobanika kutochukua hatua stahiki kuhusiana na kilimo cha mirungi, na kusema kuwa watachukuliwa hatua…

‘Madaktari bingwa kufanyakazi kliniki binafsi si jipya’

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya na tayari linafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, JKCI, Ocean Road na Taasisi ya…

Wapiga kura 74,642 kupiga kura kuchagua madiwani kesho

Na Mwandishi Maalum,JamhuriMedia Wapiga Kura 74,642 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 13 za Tanzania Bara kesho Julai 13,2023. Jumla ya wapiga kura 74,642 walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu…

Balozi Polepole akipaisha Kiswahili Cuba

Balozi wa Tanzania Nchini Cuba Humphrey Polepole amesema waasisi wa Mataifa ya Afrika walifanya jukumu lao kwa harakati kubwa za kulikomboa Bara la Afrika na kwamba ni wakati wa kizazi cha sasa kuhakikisha wanaleta ukombozi wa kiuchumi barani na njia…

Maandamo yafanyika Kenya licha ya marufuku ya Polisi

Maandamano ya upinzani yameanza nchini Kenya, licha ya kutangazwa na polisi kuwa haramu, na kusababisha matumizi ya vitoa machozi na vyombo vya sheria kuwatawanya waandamanaji katika miji mbalimbali. Inspekta Jenerali wa Polisi alisema kuwa “mamlaka hawana lingine ila kuchukua hatua…

DC Same atoa siku 30 vijiji vyote kuteketeza mashamba ya mirungi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Same Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni ametoa mwezi mmoja kwa viongozi wa vijiji vitatu vya Tae, Mahande na Heikondi vilivyo kata ya Tae wilayani humo kushirikiana kuteketeza mashamba yote ya mirungi na kuachana na…