Rais Samia ahudhuria futari iliyoandaliwa na viongozi Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Futari aliyowaandalia viongozi pamoja na wageni mbalimbali Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 15 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye Futari aliyowaandalia viongozi pamoja na wageni mbalimbali Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 15 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi wakati wa Futari aliyowaandalia viongozi pamoja na wageni mbalimbali Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 15 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi wakati wa Futari aliyowaandalia viongozi pamoja na wageni mbalimbali Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 15 Machi, 2024. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi
Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 15 Machi, 2024.