Latest Posts
Makamu wa Rais aagiza miti mitano kwa kila kibali cha ujenzi
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia ,Dodoma Makamu wa Rais Dk. Emmanuel Nchimbi ameagiza kuwa kila kibali cha ujenzi kitakachotolewa nchini lazima kihusishe upandaji wa angalau miti mitano, ikiwa ni sehemu ya hatua mpya za kuimarisha utunzaji wa mazingira na kukabiliana na…
Serikali yazindua kituo cha operesheni na mawasiliano ya dharura Mwanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza SERIKALI imezindua rasmi Kituo cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura cha Mkoa wa Mwanza, hatua inayolenga kuimarisha uratibu wa shughuli za usimamizi wa maafa na majanga katika mkoa huo. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo leo…
Mathias Canal atwaa tuzo ya ushiriki bora wa kazi za jamii 2026
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni za WAZOHURU MEDIA na WAZOHURU APPARTMENTS, Mathias Canal, ametunukiwa Tuzo ya Ushiriki Bora wa Kazi za Jamii 2026, ikiwa ni kutambua mchango wake mkubwa katika kuhamasisha maendeleo ya…
Sangu aieleza ILO mambo sita yanayoipaisha Tanzania sekta ya kazi
Na: OWM (KAM) – Geneva, Uswisi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amebainisha mambo sita makubwa ambayo Tanzania imeendelea kuyatekeleza katika kuimarisha sekta ya kazi, ajira na ustawi wa wafanyakazi, hatua zinazoiwezesha nchi…
Tanzania yapiga hatua kubwa dhidi usugu wa dawa, matumizi ya antibiotiki yashuka kwa asilimia 88
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imeendelea kuonyesha mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa (AMR), baada ya kupunguza matumizi ya dawa za antibiotiki kwa asilimia 88 na kupunguza vifo vinavyohusishwa…
Dk Nchimbi atembelea banda la REA
📌REA yaeleza mchango wake katika kupunguza athari za uharibifu na uchafuzi wa mazingira. 📍Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kilele cha Maonesho…





