Latest Posts
TAWA kuongeza Simba,Chui bustani ya Luhira Songea
…………………………………………………………… Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii inatarajia kuongeza wanyama jamii ya Simba, Chui, fisi,mbuni,kobe na mamba katika bustani ya asili ya Luhira Manispaa ya Songea. Antony Masebe ni Kamanda…
Naibu Waziri asema DM ni muhimu kwa uchumi wa buluu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeahidi kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali zinazokikabili Chuo ch bahari Dar es Salaam (DMI). Ahadi hiyo ilitolewa jana na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Atupele Mwakibete, wakati wa mahafali ya 18 ya chuo…
Mradi wa shule bora kuleta matokeo chanya katika sekta ya elimu nchini
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Waandishi wa habari wameaswa kutumia nguvu ya kalamu zao kuandika taarifa za mradi wa Shule Bora ,mpango ambao unalenga kuweka mikakati na kutafuta suluhisho kwa watoto wa makundi maalum ,wakike na wale wa kiume wanapata elimu iliyo…
Kocha wa Namungo na Taifa Stars atua kwa ‘Wakata Umeme’ wa Zambia
Kocha mzambia, Honour Janza (62), amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuwatumikia Zesco United ‘wakata umeme’ ya Zambia kama Mkurugenzi wa ufundi wa klabu hiyo inayomilikiwa na Shirika la Imeme la Zambia. Janza alikuwa kocha wa Namungo FC ya Lindi…
Kenya yapiga marufuku wazazi kuwapeleka watoto shule za msingi za bweni
Kenya imetangaza kuwa kuanzia mwaka ujao hakutakuwa na shule ya bweni kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwapeleka watoto wao shuleni asubuhi. Hii ni kwa ajili ya kutaka watoto wawe karibu sana na wazazi wao kwa suala…