JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Madeni yaitesa dunia, la Tanzania lafika trilioni 65/-

Ingawa deni la taifa limeongezeka maradufu miaka ya hivi karibuni na kufikia Sh trilioni 65 miezi mitatu iliyopita, ukubwa wake bado si hatarishi na si mzigo kwa taifa kama ilivyo sehemu nyingine duniani ambako madeni sasa ni tishio la ustawi…

Viongozi wa dini, Bunge kupambana na TB

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mtandao Huru wa Wabunge wa Kupambana na Kifua Kikuu Tanzania, mwishoni mwa wiki iliyopita limesaini makubaliano na taasisi za dini kushiriki mapambano ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) unaoua zaidi ya watu…

Mvunja nchi ni mwananchi

Serikali ni chombo cha utawala chenye kusimamia kanuni na sheria za nchi na kuhakikisha zinafuatwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi iliyokubaliwa na wananchi. Chama cha siasa ni chombo cha uongozi, chenye kushughulika na masuala ya kuhamasisha, kuelimisha na kuona…

Yah: Naanza kuandika historia ya maisha yangu (2)

Historia yangu inakwenda mpaka nilipoanza kuaminiwa kusoma na kuandika katika madaftari na vitabu vikubwa kama mkeka.  Nilivipenda vitabu kwa hadithi zake na kuandika kwa kuchora vizuri na kusifiwa na masista ambao walikuwa walimu wangu. Ni katika kipindi hiki ndipo nilipogundua…

ISHI NDOTO YAKO (1)

Haben Girm ni mwanamke aliyezaliwa akiwa haoni wala kusikia.  Haben Girm alizaliwa katika familia maskini sana.   Haben alipozaliwa akiwa haoni wala kusikia watu walimshauri mama  yake amtupe kichakani. Mama yake alikataa  kata  kata. Mama yake alisema: “Siwezi  kumtupa  mtoto wangu kichakani kisa ni kipofu.”   Haben alikulia katika mazingira magumu…

HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (8)

Panga kuvunja rekodi  Kuna baadhi ya watu wanapopata matatizo wanavunjika moyo, wengine wanavunja rekodi. Kuwa na maono ya kuvunja rekodi katika eneo ulipo. Hakikisha viwango na masharti vinazingatiwa. Matendo yawe yanayokubalika kisheria na ni mema.   Jiwekee viwango ambavyo vitakusaidia katika…