JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Fursa ya kipekee kiuchumi kwako na familia (2)

Mifano ya ujasiriamali yenye uthubutu lakini ikakwamishwa   Mwaka 2004 hadi Mei 2006 nilikuwa nimetumia uwezo wangu wa masoko kusajili dawa ya kiasili ya Dental Formula Power (DFP), ambayo inasaidia kutibu na kukinga meno yasipate magonjwa na kuzuia wazee wabaki…

TPA: Mizigo ya wateja iko salama bandarini

Bandari ya Dar es Salaam ni lango kuu la biashara kwa nchi yetu na nchi zote zinazotumia bandari hiyo. Kutokana na umuhimu wake, bandari inahitaji ulinzi madhubuti na wa kiwango cha hali ya juu.  Kutokana na umuhimu katika nyanja za…

Ndugu Rais waliotutangulia walisema ukimtuma mpumbavu…

Ndugu Rais, yawezekana katika maisha yetu tulishawatuma wapumbavu wengi tu. Kwa maisha yetu ya hapa duniani hao sasa ndio wanaozishikilia funguo za milango ya magereza yetu. Kama kuna pepo na moto baada ya sisi kupita, hao ndio wanaotusafishia njia yetu…

Dawasa: Tunawaletea maji Dar na Pwani

Wakati wizara na taasisi za serikali zikiendelea kupambana kukamilisha matarajio ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2015 – 2020, katika kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa, Wizara ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es…

Yapo madhara ya kuiga kila kitu

Binadamu anajiendeleza kwa kujifunza au kuiga kutoka kwa vizazi vilivyotangulia. Haipo jamii itakayojihakikishia maendeleo ya uhakika bila kujifunza kutoka jamii nyingine ilimradi wanajamii wanaafikiana juu ya maana ya maendeleo na yapi yawe ya kuiga ili kujiletea maendeleo. Teknolojia ya habari…

Namna ya kugawa mali za marehemu

Tanzania kuna sheria nne ambazo hutumika kugawa mirathi. Kwanza,  sheria za  kimila; pili,  sheria  za Kiislamu;  tatu, sheria ya urithi ya India ( Indian Succession Act) na nne, sheria ya mirathi ya watu wenye asili ya Asia. Swali la sheria…