JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mbowe akiri uzembe 2020

TABORA Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kushindwa kwao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana hakukuchangiwa na aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli pekee, bali ni pamoja…

RC amtaka Mwenyekiti wa  Kijiji kurejesha Sh 150,000

TABORA Na Benny Kingson Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ali Hapi, amemwagiza Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Itaga, Manispaa ya Tabora, Mashaka Ramadhani, kurejesha Sh 150,000 alizomdhulumu mkazi wa kijijini hapo. Agizo hilo limetolewa kwenye mkutano wa hadhara baada…

Mbunge: Makubwa yamefanywa Ardhi

DODOMA Na Suleiman Sultan Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Khadija Hassan Aboud, amesifu utendaji wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, akisema ameleta mabadiliko katika utoaji haki, kupunguza  dhuluma, uonevu na kuondoa migogoro mingi nchini. Akizumgumza…

Uhalali wa wabunge 19 wa Chadema

DODOMA Na Mwandishi Wetu Kwa muda mrefu kumekuwa na mjadala juu ya uhalali wa kuwapo wabunge 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama sehemu ya Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni takriban miezi mitano…

Ya Sabaya, tuandike majina yetu vizuri

Na Deodatus Balile Kwanza, naomba kabla sijaingia katika undani wa mada nichukue fursa hii adhimu kuwashukuru wahariri wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kwa kunichagua kuwa Mwenyekiti wa TEF kwa kishindo. Sitanii, ushindi wa asilimia 72 walionipa wahariri hawa…

Nani ‘anaua’ vipaji Yanga?

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Ni matamanio ya kila shabiki wa soka kuiona klabu anayoishabikia ikipiga hatua na kufikia mafanikio, ikiwa ni pamoja na kuchukua mataji. Naam! Ni kama vile kuwafikisha wana wa Israel katika nchi ya ahadi na…