Latest Posts
KIJANA WA MAARIFA (10)
Akiba haiozi, wekeza ukiwa kijana Wanasema akiba haiozi na ikioza hainuki. Nitafanya makosa makubwa kama nikiandika mambo mengi kuhusu vijana na nikakosa kuongelea kuhusu kijana na uchumi. Ni wazi kwamba pesa katika maisha yetu haikwepeki. Tangu unapoamka mpaka pale unaporudi…
Msimamo wa Jaji Mkuu kuhusu dhamana upewe kipaumbele
Katika miaka ya hivi karibuni kosa la utakatishaji fedha limesababisha watu wengi kuwekwa mahabusu kwa kipindi kirefu, kwa sababu kwa mujibu wa sheria, kosa hilo halina dhamana. Ingawa serikali ilikuwa na dhamira njema ilipotunga sheria hiyo, lakini baadhi ya wataalamu…
Uamuzi wa Busara (6)
Uamuzi wa Busara Uamuzi wa Busara ni jina la kitabu kilichochapishwa na Ofisi ya Katibu Mtendaji Mkuu wa TANU, kimebeba mambo muhimu yaliyoamuliwa kuhusu taifa kabla ya kupata uhuru. Yapo mambo ambayo kama yasingefanyika ingekuwa vigumu kujua historia ya nchi…
Ukatili wa kijinsia wakithiri Kakonko
Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma imetajwa kama moja ya maeneo nchini ambayo bado yanakabiliwa na matatizo ya ukatili wa kijinsia. Takwimu zilizotolewa hivi karibuni zinaonyesha kuwa kati ya mwaka 2016 na mwaka jana, matukio 313 ya ukatili wa kijinsia yakiwamo…
Moto wazidi kusambaa Australia
Kuongezeka kwa joto kunazidi kuleta hali ya tishio kutokana na moto mkubwa unaowaka katika maeneo mengi nchini Australia. Watabiri wa hali ya hewa wameonya kuwa ongezeko hilo la joto litaongeza ukame katika maeneo mengi, hivyo kutoa mwanya kwa moto kusambaa…
Marekani yaibana Iran, zakaribia kuanza vita
Maandamano ya vurugu yaliyotokea wiki iliyopita katika Ubalozi wa Marekani jijini Baghdad ni tukio la hivi karibuni ambalo zinazisogeza Marekani na Iran kwenye vita kamili, wachunguzi wa mambo wanaeleza. Maandamano hayo ni mwendelezo wa vurugu zilizoanza baada ya kuondolewa madarakani…