Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensaya Watu  na Makazi, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo, Hemed Suleiman Abdulla wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kikataifa cha Julius Nyerere  jijini Dar es salaam kushiriki katika Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi, Februari 25, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Februari 25, 2023. Wa tatu kulia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati hiyo, Hemed Suleiman Abdulla
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kikataifa cha Julius Nyerere  jijini Dar es salaam kushiriki katika Kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi, Februari 25, 2023.

By Jamhuri