Latest Posts
Jaji Sumari majaribuni tena Moshi
Na Charles Ndagulla, Moshi Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, Aishiel Sumari, ameandamwa tena na wananchi wanaokataa asisikilize mashauri yaliyo mbele yake kwa madai kuwa hawana imani naye. Hatua hii inakuja huku kukiwa na taarifa kutoka Mahakama Kuu…
Wakazi Dar kupata maji zaidi
Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam na Pwani (Dawasa), Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange, amewatoa hofu wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Pwani kuhusu upatikanaji wa…
Wizara isiwapuuze Botswana
Katika gazeti la leo tumechapisha habari za uchimbaji wa madini nchini Botswana na jinsi wakazi wa nchi hiyo wanavyonufaika. Tumempeleka mwandishi Botswana kufuatilia habari hizo na amekuja na maelezo yenye kutia moyo kuwa nchi yetu ikipata watumishi wanaoitanguliza nchi, Tanzania…
Odinga anakuwa Rais Kenya
Na Deodatus Balile, aliyekuwa Mombasa Kuna kila dalili kuwa mwanasiasa Raila Amolo Odinga (73), miaka minne ijayo atachaguliwa kuwa Rais wa Kenya, yaani mwaka 2021. Hivi karibuni nimepata fursa ya kuwa jijini Nairobi na baadaye nikasafiri hadi Mombasa, ambako nimepata…
Rais Korea Kusini afungwa kwa rushwa
Seoul, Korea Kusini Rais mstaafu wa Korea Kusini, Lee Myung-bak, amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela pamoja na faini ya dola za Marekani milioni 11.5 (sawa na zaidi ya Sh bilioni 25) kutokana na kukutwa na hatia ya makosa kadhaa…
Korosho bado ni ‘umiza kichwa’! (4)
Sehemu iliyopita, nilianza kuandika rejea ya makala niliyoiandika miaka 17 iliyopita. Nilisema kule India nako lile shirika la “Cashew Corporation of India” lililonunua korosho zetu zote lilishavunjwa. Hivyo wanunuzi binafsi walikuwa wanajinunulia korosho kiholela kwa viwanda vyao vya kubangulia korosho….