Latest Posts
Tillerson aahidi kuendeleza uhusiano wa Marekani – Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson ameahidi kwa mara nyingine mshikamano wa Marekani na nchi za Afrika, katika juhudi za kufuta kauli ya utata iliotolewa na Rais Donald Trump ikilikashifu bara hilo. Mkutano wa mwanadiplomasia wa ngazi…
Waziri akanusha ripoti kuwa Kenya haina fedha
Waziri wa Fedha Kenya Henry Rotich amesema Alhamisi kuwa ripoti zinazodai kuwa serikali ya nchi hiyo haina fedha ni “habari feki” na kuwa serikali kawaida haziwezi kukosa fedha. Ameongeza kuwa shilingi bilioni 200 zilizotolewa hivi karibuni na Eurobond zitaweza kukidhi…
Matokeo ya Mechi Zote za Europa Leage Hatua ya 16 Bora Haya Hapa
Hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League ilichezwa usiku wa March 8 2018 kwa michezo nane kuchezwa barani Ulaya, hizi ni game za kwanza ambazo zimechezwa leo baada ya game za marudiano ndio tutajua timu gani zimeingia…
Wakurugenzi wasiotenga fedha za mikopo kwa wanawake kufikia June kutumbuliwa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu ametoa miezi mitatu kwa wakurugenzi wote nchini kuhakikisha wanatenga asilimia 4 za fedha za halmashauri kwaajili ya kuwapa wanawake mikopo ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuunga…
ARSENAL YAITANDIKA AC MILAN 2-0 UGENINI
Arsenal jana usiku imeifunga Ac Millan mabao 2-0 kwenye mashindano ya kombe la Euopa Leaue hatua ya 16 bora ugenini kwenye Uwanja wa Giuseppe Meazza Mjini Milani. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Henrikh Mkhitaryan kwenye dakika ya 15 na bao…
Trump akubali Kukutana na Kim Jong
Rais Donald Trump wa Marekani amekubali ombi la Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un la kutaka wakutane mapema ndani ya mwezi mei mwaka huu,na hivyo kuweka historia kufuatia kuwa kutokuwepo rais wa Marekani ambaye amewahi kuonana na kiongozi mkuu…