Latest Posts
Asante rais kwa kuusema ukweli
NA ANGELA KIWIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka, kwa kuchapa kazi kimyakimya na kuleta maendeleo makubwa katika mkoa wake. Rais Magufuli amebainisha kwamba Mtaka ndiye kinara katika…
Lissu ameumizwa, lisitokee tena Tanzania
Na Deodatus Balile Leo nimeona niandike mada inayohusiana na hali ya usalama, amani, utulivu na upendo kwa taifa letu. Nimesoma maandishi ya Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, wakati anatimiza mwaka mmoja wa maumivu tangu alipopigwa risasi Septemba 7,…
Mfanyabiashara ‘mwizi’ Moshi apelekwa Kenya
Na Charles Ndagulla, Moshi MFANYABIASHARA maarufu mkoani Kilimanjaro, Bosco Beda Kya kuwa kinara wa mtandao wa wizi wa magari katika nchi za Kenya n amepandishwa kizimbani. Kyara na wenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya H wakikabiliwa na mashtaka mawili,…
Bosi Takukuru du!
*Kesi ya Singa, Rugemalira, wabunge zamtia kitanzini *Mfumo mpya kupokea, kukalia taarifa wamponza *Rais Magufuli apasua jipu, yeye ajipiga ‘kufuli’ Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam Kushindwa kupambana na rushwa kubwa, kutotengeneza mazingira rafiki kwa watoa taarifa za rushwa na…
Koffi Annan kuzikwa Ghana, Alhamisi
Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, umewasili katika nchi Ghana. Mwili wake umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kotoka uliopo mjini Accra, ukisindikizwa na familia yake na maafisa wengine wa Umoja wa Mataifa….