Latest Posts
Mazito aliyekwepeshwa kwa Magufuli
James Kunena aliyeporwa nafasi ya kuzawadiwa na Rais Dk. John Magufuli kuwa mfanyakazi bora wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) alipigiwa kura na wenzake kwa kuwa alibuni vipuri vilivyotakiwa kuagizwa nje ya nchi. Hatua yake hiyo iliwashawishi wenzake kumchagua kuwa…
Abambikiziwa uanachama mfuko wa jamii
Uliokuwa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) kwa miaka minne umeshindwa kulipa mafao ya kustaafu ya askari polisi aliyelitumikia jeshi hilo kwa miaka 33, kisa kabambikizwa uanachama katika mfuko mwingine. Thomas Njama, amestaafu Jeshi la Polisi mwaka 2015…
Mwalimu mtuhumiwa mauaji ni Mkenya
Shuleย ya Sekondari ya Scolastica iliyopo Himo, Moshi mkoani Kilimanjaro inatuhumiwa kuajiri mwalimu raia wa Kenya asiyekuwa na vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini. Mwalimu Laban Nabiswa, ni mshtakiwa wa tatu katika kesi ya mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi Humphreyย Makundi…
Rushwa ya ngono yamtumbukia mwalimu
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Jabarhila, iliyopo Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, Mwatanda Omari (37), amehukumiwa kwenda jela miezi 12 kwa kosa la kuomba rushwa ya ngono. Mwalimu Omari alitenda kosa hilo Machi 9, 2017 kwa kumuomba rushwa hiyo…
Busara itumike TRAWU
Wiki iliyopita Gazeti hili la JAMHURI lilichapisha habari kuhusu kashfa iliyojitokeza wakati wa maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi, kwa mwaka huu yaliyofanyika kitaifa jijini Mbeya. Kashfa hiyo imekikumba Chama cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU). Ndani…
NINA NDOTO (18)
Taa nyekundu na kijani za maisha Zamani nilipokuwa nikisafiri na kupita katikati ya jiji palipokuwa na taa na kukuta taa nyekundu inawaka nilikasirika. Nilitamani muda wote taa ya kijani iwake ili tupite. Siku hizi nikifika na kuona taa nyekundu…



