Latest Posts
Kwa nini Katiba mpya ni muhimu
Morogoro Na Everest Mnyele Katiba tuliyonayo sasa pamoja na marekebisho yake, ni ya mwaka 1977. Katiba hii ni matokeo ya kuundwa kwa chama kimoja cha siasa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) Februari 5, 1977. Katika hali ya kawaida, Katiba iliyopo pamoja…
Dk. Biteko aombwa kusitisha leseni
Shinyanga Na Antony Sollo Waziri wa Madini, Dk. Dotto Biteko, ameombwa kufuta leseni ya Kampuni ya El-Hillal Minerals kutokana na walinzi wake kutuhumiwa kumuua kwa risasi mchimbaji mdogo wa madini. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, William…
Elimu ardhi mgogoro wa Makonda, Gharib
Bashir Yakub Kwanza; ukinunua ardhi (nyumba, kiwanja, shamba) hakikisha unafanya ‘transfer’ (kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda jina lako, mnunuzi) mara moja kadiri uwezavyo. Wengi mkinunua kwa sababu hakuna anayekulazimisha kufanya ‘transfer’ kwa haraka, basi mkishakabidhiwa hati na mikataba ya mauziano…
UNESCO nayo yatia mkono Ngorongoro
*Wakiri hali ikiachwa hifadhi inakufa *Waunga mkono uhamishaji wafugaji *Ujangili, ulaji wanyamapori vyashamiri *Angalizo shughuli za kibinadamu latolewa NA MWANDISHI WETU ARUSHA Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeunga mkono uamuzi wa Serikali ya Jamhuri…
‘Sniper’ wa tembo atupwa jela
*Hukodiwa kwa Sh 300,000 kuua tembo mmoja *Ni mtaalamu wa shabaha, mkazi wa Kibiti, Pwani MARA Na Mwandishi Wetu Huku akiwa bado anatumikia kifungo cha miaka mitatu kwa kosa alilokutwa nalo mwaka 2017, Karimu Musa (40), maarufu kwa jina la…
Nani mkweli kati ya GSM, Makonda?
Na Mwandishi Wetu Mgogoro wa kugombea eneo la kiwanja namba 60 kilichopo Regent Estate, Kata ya Mikocheni, wilayani Kinondoni kati ya mfanyabiashara, Ghalib Said Mohamed (GSM) na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, unazidi kufukuta baada…




