JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Maswali ni mengi Bukoba

Nakaribia wiki mbili sasa nikiwa hapa Bukoba. Naendelea na ukarabati wa nyumba ya mama yangu iliyosambaratishwa na tetemeko. Hata hivyo, pamoja na kuwa katika ujenzi huu, haimaanishi kuwa kazi yangu nimeiweka kando. Naendelea kuzungumza na wananchi, nafuatilia kinachoendelea na jinsi…

Majibu: Serikali za Mitaa ndio Injini ya Maendeleo (2)

Mojawapo ya makubaliano ya mwafaka yaliyoafikiwa baina ya wakulima na wafugaji iliweka utaratibu wa kuzuia migogoro na migongano baina yao kwa wao. Makubaliano hayo yalitekelezwa kwa wahusika kutenga mipaka ya maeneo ya kuendesha shughuli za wakulima na wafugaji. Mwafaka wa…

Miezi 40 ya mapambano na Dk. Edward Hosea (2)

Katika makala ya wiki iliyopita nilihitimisha kwa kueleza kwamba Juni 3, 1998 nilipokea amri kutoka Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKURU) iliyonitaka kuwasilisha taarifa ya mali zangu zote pamoja na maelezo ya jinsi nilivyozipata; na kwamba niliweza kufanya…

Nyerere: Mwasisi wa wazo la Bima ya Afya

Upeo wa fikra na uwezo wa kuona mbali aliokuwa nao Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ndiyo unaotufanya tuendelee kumkumbuka leo hii kama kiongozi wa watu, tofauti na viongozi wengi wa wakati wake na pengine hata wa sasa tulionao…

Ndugu Rais kipi kianze? (2)

Ndugu Rais, imenilazimu niisemee kidogo makala yangu ya wiki iliyopita iliyokuwa na kichwa cha habari ‘Kipi kianze’.  Imenilazimu kufanya hivi kutokana na ukweli kwamba kuna baadhi ya wasomaji hata kama ni wachache, au hawakuupata ujumbe uliokusudiwa au kwa makusudi wanaonekana…

Antonio Guterres ni nani?

Ni wazi sasa Waziri Mkuu wa zamani wa Ureno, Antonio Guterres, ndiye Katibu Mkuu ajaye wa Umoja wa Mataifa. Anatarajiwa kuanza kazi rasmi  Januari 2017 Katibu Mkuu wa sasa, Ban Ki-moon atakapomaliza muda wake. Kwa sasa, kiongozi huyo anasubiri kuthibitishwa…