JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MAISHA NI MTIHANI (18)

Upendo ni mtihani, palipo na husuda, hakuna upendo. Palipo na chuki hakuna upendo. Palipo na umbea hakuna upendo. Maneno kwenye kanga za kina mama yanabainisha upendo ni mtihani. Chokochoko za jirani hazinitoi ndani, mtamaliza visigino kwa safari za umbea. Hunilishi,…

Kufungwa Malkia wa Tembo si mwisho wa ujangili

Malkia wa Tembo amefungwa jela miaka 15. Hii ni habari njema kwa wahifadhi. Sijasikia wanaobeza hukumu hiyo, japo wapo wanaoona ni ndogo ikilinganishwa na tembo 430 waliotoweka kutokana na mwongozo wake. Kwenye kesi hii waliofungwa ni wawili. Huu ni “utani”….

Tusipoteze lugha mama tukakuza lugha ya mapokeo

Umoja wa Mataifa (UN) umepanga Februari  21, kila mwaka ni ‘Siku ya lugha ya mama duniani.’ Siku hii ina lengo na madhumuni ya kukumbusha na kudumisha utamaduni (historia, mila na desturi) wa kuzungumza lugha mama ambayo ndiyo lugha ya asili…

Yah: Na leo nakumbuka mambo ya zamani tu

S alamu zenu waungwana ambao naamini wengi wenu mnaosoma waraka wangu ni wale wenye umri wangu na kweli mnakumbuka pamoja na mimi. Nawapa salamu kwa sababu naamini kuwepo kwetu mpaka leo ni kwa neema tu na matunzo tuliyopata kutoka kwa…

Simba inakula ‘viporo’

Wiki iliyopita timu ya Simba imeendelea kula viporo vyake vema katika mechi zake baada ya kuilaza timu ya Azam kwa magoli 3-1 katika Uwanja wa Taifa. Simba ilipata magoli hayo kupitia kwa Meddie Kagere aliyefunga magoli mawili huku jingine likifungwa…

Serikali yalizwa

Kampuni ya Crown Lapidary ya jijini Arusha inayojihusisha na biashara ya madini imekumbwa na kashfa ya kutorosha madini yenye thamani ya dola za Marekani milioni 300 (shilingi zaidi ya bilioni 700), JAMHURI limebaini. Madini hayo aina ya Green Garnet, yanatajwa…