Latest Posts
Fahamu kuhusu ‘mwuaji’ watoto Njombe
Ni baba wa watoto wanne, mganga wa jadi aeleza siri imani ya utajiri wa kichawi Maisha ya mtuhumiwa, Joel Nzuki, katika kesi ya mauaji ya watoto watatu wa familia moja yameelezwa kutokuwa na viashiria vya wazi kwa mhusika kuhusishwa na…
Aibu tupu stendi Makambako, Njombe
Mpita Njia, maarufu kama MN wiki mbili zilizopita alikuwa katika miji ya Njombe na Makambako kwa nyakati tofauti, ndani ya Mkoa wa Njombe kwa Wabena, Wahehehe, Wakinga na makabila mengine mchanganyiko ya Tanzania na hata watu wa mataifa mengine, ikizingatiwa…
Waliofukuzwa kwa ufisadi Bodi ya Kahawa wakimbilia mahakamani
Waliokuwa wafanyakazi wa Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) Makao Makuu mjini Moshi na baadaye kufukuzwa kazi kwa tuhuma mbalimbali za ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni 3.4, wameanza kuitunishia misuli serikali. Wafanyakazi hao ni aliyekuwa Mkurugenzi wa Fedha, Astery Bitegeko…
Matokeo utafiti wa habari yawe changamoto
Wiki iliyopita Taasisi ya utafiti ya Spurk Media Consulting Ltd ya Uswisi kwa kushirikiana na Baraza la Habari Tanzania (MCT), imetangaza matokeo ya utafiti wake uliohusu ubora wa maudhui kwa vyombo vya habari nchini kwa mwaka 2018. Matokeo ya utafiti huo…
Nina ndoto (7)
Wakati kampuni ya Coca Cola inaanza iliuza chupa 25 tu za soda ndani mwaka mzima! Hii inaonyesha kuwa kila mwezi waliuza takribani chupa mbili za soda. Najua umeshangaa maneno niliyoanza nayo hapo juu, lakini hiyo ni historia ya kweli. Leo…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (2)
Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kusema kuanzisha biashara ni sawa na kujenga nyumba. Nyumba iliyo bora inapaswa kuwa na ramani. Na si ramani tu, bali hesabu za vifaa vitakavyotumika. Hii itakuwezesha kujua utatumia saruji mifuko mingapi, nondo ngapi, mabati…



