Latest Posts
Sheria mpya ya kulinda barabara kuanza Januari
NA MICHAEL SARUNGI, DAR ES SALAAM Serikali imetangaza kuanza kutumika kwa sheria mpya ya udhibiti wa uzito wa magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (East Africa Vehicle Load Control Act, 2016) kuanzia Januari mwakani ili kukabiliana na uharibifu wa barabara…
Zimamoto na Uokoaji wasaidiwe kukabili changamoto
Na Zulfa Mfinanga, Dodoma Licha ya kuwepo kwa Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchin haina mfumo wa dharura wa uokoaji katika ajali za barabarani. Sheria ya Zimamoto na Uokoaji Cap 427 ya mwaka 2008, Kifungu c cha (1)…
MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (37)
Na Padri Dk. Faustine Kamugisha Moyo ni sababu ya mafanikio. Unapoweka moyo wako wote katika lile unalolifanya utafanikiwa. “Fanya kazi kwa moyo wako wote, na utafanikiwa – kuna ushindani mdogo, ” alisema Elbert Hubbard. Kuna methali ya Tanzania isemayo: “Moyo…
Bandari: Hatua za kuagiza mzigo nje ni hizi
Na Mwandishi Maalumu Kutokana na maombi ya wasomaji wa makala za Bandari ku JAMHURI, ambao wameomba turudie kuchapisha baadhi ya kuwathamini wasomaji na wadau wetu tumekubali kurudia makala h Moja ya makala ambazo wasomaji wetu waliomba turudie ni ya ambazo…
Ni neema ya Mungu, nilikiona kifo – Kigwangalla
*Asimulia tukio zima la ajali waliyoipata, aelezea afya yake *Awashukuru wananchi kwa kumwombea *Alitangaza wosia, watu anaowadai na wanaomdai Nianze kwa msemo maarufu wa lugha ya Kiswahili usemao: “Kama haujui kufa, tazama kaburi.” Anayeweza kuthibitisha maneno haya ni yule aliyenusurika…
Makala: Jinsi Waafrika Walivyonyimwa Bia
Sehemu ya tatu, mwandishi wa makala hii aliishia kwenye maelezo ya namna Waafrika walivyozuiwa kunywa bia katika Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo iliibua mgogoro mkubwa. Sehemu hii ya nne na ya mwisho, mwandishi anaeleza umuhimu…





