Latest Posts
SKIIBII kafufuka baada ya kujiua kimuziki
‘Hivi ndivyo mtu mashuhuri hufanya’. Ni jina la wimbo wa msanii wa Nigeria, Abbey Elias, maarufu kama Skiibii Mayana ama Swaggerlee, unaomtambulisha katika soko la muziki nchini humo na pande za dunia kwa sasa. Pamoja na umaarufu ambao umeanza kumvaa…
Watanzania wapewa somo
Wadau mbalimbali nchini wametoa maoni yao mara baada ya wiki iliyopita Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumtangaza Ettiene Ndayiragije kuwa kocha mkuu wa muda wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars. Kocha huyo anachukua mikoba iliyoachwa na…
Matokeo ya kidato cha SITA mwaka 2019
Yatazame kwa urahisi matokeo ya kidato cha SITA mwaka 2019 hapa>>> https://matokeo.necta.go.tz/acsee/acsee.htm
Waliomdanganya JPM kibao chageuka rasmi
Miezi miwili tangu aliyestahili tuzo ya mfanyakazi bora wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), James Kunena, kupokwa fursa hiyo saa chache kabla ya kutunukiwa na Rais Dk. John Magufuli katika kilele cha mwaka huu cha Mei Mosi, hali si shwari…
Dizeli yabainika ndani ya visima vya maji
Baadhi ya visima vya maji safi katika Kitongoji cha Buseresere wilayani Chato, mkoani Geita vimebainika kuwa na mchanganyiko wa maji na dizeli. Kutokana na hali hiyo, wananchi hao wanaelekeza lawama zao kwa mmiliki wa Kituo cha Mafuta cha Buseresere, Samwel…
Vigogo KCBL watelekeza mali za mabilioni
Wafanyakazi wawili miongoni mwa watano waliofukuzwa kazi na Bodi ya Uongozi ya Benki ya Ushirika Kilimanjaro (KCBL) wametoweka na kutelekeza mali za mabilioni ya fedha. Mali hizo ni pamoja na nyumba za kifahari, magari pamoja na viwanja. Ni mali ambazo…





