Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Washauri walioteuliwa hivi karibuni wa mambo ya Siasa na Uhusiano wa Jamii, Mhe. Abdallah Bulembo, Mhe. Haji Omar Kheir, Mhe. Rajab Luhwavi na Mhe. William Lukuvi mara baada ya kuwaapisha  Mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2023.

By Jamhuri