Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Aprili, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuhusu Meli ya Kwanza ya Uvuvi wa Bahari Kuu mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Aprili, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi kwenye picha na Nahodha pamoja na Wanamaji wa Meli ya Kwanza ya Uvuvi wa Bahari Kuu mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Aprili, 2026.