Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto wa maeneo ya jirani na Tasani mara baada ya hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Maandalizi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja, tarehe 20 Agosti 2024.

      

Please follow and like us:
Pin Share