Muonekano wa Boti za Kisasa za Uvuvi pamoja na vifaa vyake katika Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini Suleiman Said Bungara Maarufu (Bwege) mara baada ya kuwahutubia Wananchi wa Kilwa Masoko Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mbunge wa Mchinga Mhe. Salma Kikwete mara baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 19 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 19 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi katika Kijiji cha Kilangala Mkoani humo tarehe 19 Septemba, 2023.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi wakiimba Wimbo Maalum wakati wa mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Shuleni hapo katika Kijiji cha Kilangala hapo Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Lindi wakiimba Wimbo Maalum wakati wa mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Shuleni hapo katika Kijiji cha Kilangala hapo Mkoani Lindi tarehe 19 Septemba, 2023.

By Jamhuri