Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika ukumbi wa The People Great Hall pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa kwenye ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na ujumbe wake kwenye mazungumzo ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakati akikagua Gwaride la Heshima katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakishuhudia wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax pamoja na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba wakisaini Mikataba mbalimbali baina ya Serikali ya Tanzania na China wakati wa ziara yake Beijing nchini humo tarehe 03, Novemba, 2022.