Watumishi wa Tume ya Ushindani FCC Wakiwa kwenye Maandamano Wakati sherehe za Siku ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi ) Iliyofanyika kimkoa kwenye viwanja vya Mnazi mmoja na Dar es salaam ambapo Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila yakiongozwa na kauli mbiu isemayo “Kazi zenye Staha ni Nguzo Imara kwa Maendeleo Endelevu katika Utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050”