Samia apokea taarifa ya Sensa ya wanyamapori ya 2024/2025 Ikuu, Dar
JamhuriComments Off on Samia apokea taarifa ya Sensa ya wanyamapori ya 2024/2025 Ikuu, Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori iliyofanyika nchi nzima mwaka 2024 – 2025 iliyowasilishwa na Waziri ya Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji kupitia Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), tarehe 29 Mei, 2026 Ikulu Dar es Salaam