Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao wakati wa Mkutano wa 18 wa Maspika na Viongozi wa Bunge wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CSPOC) uliofanyika Katika Ukumbi wa Mikutano wa Yaounde Jijini Yaounde Nchini Cameroon.

Kikao hicho ambacho kinauadili athari za mabadiliko ya tabia nchi duniani kimefanyika leo 19, 2023. Katika Mkutano huo Mhe. Dkt. Tulia ameambatana na Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu pamoja na Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi

By Jamhuri