JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: Airtel Tanzania

AIRTEL YASIKITISHWA NA TAARIFA YA WAZIRI MPANGO

Kampuni ya Bharti Airtel inayomiliki Airtel Tanzania imeeleza kusikitishwa kwake na taarifa ya Waziri wa Mpango kuhusu umiliki wa kampuni hiyo kutokuwa halali. Bharti imesema, uwekezaji wake ulifuata na kuzingatia sheria na taratibu zote za nchi. Ikumbukwe siku chache zilizopita…

UBINAFSISHAJI WA TTCL MPAKA KUWA AIRTEL ULIKUWA NA UTATA

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 11 Januari, 2018 amewasilisha taarifa ya kamati aliyoiunda kuchunguza umiliki wa kampuni ya simu Airtel kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyeagiza…

Bomu la Airtel, Vigogo Hawa Wamekalia Kuti Kavu

Moto aliouwasha Rais John Magufuli wiki iliyopita kwa kutaka ufanyike uchunguzi wa kina juu ya umiliki halisi wa kampuni ya Airtel umegeuka bomu linaloelekea kuwalipukia vigogo wanaoheshimika kwa kiasi kikubwa hapa nchini, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Tayari Taasisi ya Kuzuia…